RAIS DK.MWINYI AMETOA POLE KWA SKULI YA KENGEJA PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametuma salamu za pole kwa wanafunzi pamoja na walimu wa skuli ya Sekondari ya Kengeja Ufundi kiswani Pemba kufuatia kuungua moto kwa daghalia ya wanawake katika skuli hiyo. Katika salamu hizo za pole, Rais Dk. Mwinyi alieleza jinsi alivyopokea kwa mshituko na